Kimansaka

Kimansaka ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino inayozungumzwa na Wamansaka. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kimansaka imehesabiwa kuwa watu 57,800. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kimansaka iko katika kundi la Kifilipino.


© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search